Sunday, March 27, 2016

Wahamaji nchini Ugiriki waandamana mpaka kufunguliwa


Mamia ya wahamiaji wenye kuungwa mkono na wanaharakati wanaadamana karibu na uzio unaozitenganisha Macedonia na Ugiriki, wakishinikiza kufunguliwa kwa mpaka ili waweze kuendelea na safari yao ya kuingia katikati ya bara la Ulaya. Polisi wa kutuliza ghasia wa Ugiriki wamesimama katikati ya uzio huku waandamanaji wakipiga kelele za kushinikiza kufunguliwa mpaka huku wameshika mabango. Polisi kwa upande wa Macedonia nao wamejiweka tayari kudhibiti pale kizuizi hicho kitakapovunjwa. Kiasi ya wakimbizi 11,500 wamekuwa wakihifadhiwa kwa muda katika kambi hiyo iliyopo Idomeni baada ya Umoja wa Ulaya kuridhia hatua ya  mataifa ya Balkan kufunga mipaka yake, kwa lengo la kudhibiti njia kubwa iliokuwa ikitumiwa na wahamiaji hao.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment