Tuesday, March 29, 2016


Mwanaume apigwa risasi baada ya kutoa bunduki katika jengo la bunge la Marekani

Mwanaume mmoja amepigwa risasi na polisi katika kituo cha ukaguzi wa usalama cha jengo la Bunge la Marekani baada ya kutoa bunduki na kuwanyooshea maofisa wa polisi. Mtu huyo amewekwa kizuizini na kupelekwa hospitali. Habari zinasema hakuna polisi aliyejeruhiwa katika tukio hilo. Mamlaka za huko zimeuhakikishia umma kuwa hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi kuwa ni tukio la kigaidi.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment