Thursday, March 31, 2016

EMMANUEL EBOU AFUNGIWA SOKA MWAKA 1 UINGEREZA



ebou

Mlinzi wa Zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ivory coast Emanuel Eboue amefungiwa kwa miezi 12 kucheza mpira baada ya kugundulika kutomlipa pesa aliye kuwa Wakala wake alizokuwa anamdai.

Eboue alikuwa Galatasalay ya uturuki kwa mara ya kwanza anarejea England tangu aondoke Arsenal, mlinzi huyo mpole mwenye miaka 32 alisajiliwa na Sunderland mwezi mmoja ulio pita na ilitakiwa aanze kuonekana wiki hii dhidi ya Westbromwich Albion

Fifa wamesema wanaweza kutengua adhabu hiyo endapo Eboue atalipa deni lake analo daiwa

Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment