Tuesday, March 29, 2016


KUKWAMA KWA SANAA YA VICHEKESHO NANI ALAUMIWE?

   
0



Sanaa ya vichekesho(Comedy) inaendelea kukua siku hadi siku lakini ukuaji wake una mambo mengi yanayo takiwa yabadilishwe,sio sisi watazamaji bali wao wenyewe wahusika waya badilishe ili waendane na soko la Dunia na kufikia ngazi za  Mr Bean au Charlie Chaplin.charlie chaplin$ mr bean

KIPI KIBADILISHWE?

1.Nguo- hapo zamani sanaa hii ilikuwa huwezi kuchekesha hadi ujipake majivu au uvae makumburu(nguo zisizo na sura nzuri) huku lengo lao kubwa lilikuwa kuchekesha, japo walikuwa wanatembea na sahani kwa ajili ya zile shilingi kumi hamsini au mia watunzwe kama umependa alicho chekesha. dhana hii inatakiwa iishe japo imepunguzwa kwasababu kwa sasa sio wengi wanao chekesha kwa mfumo ule wa zamani.JOTI NA MPOKI77

2.Ubunifu- hapa ndio haswa changamoto kubwa ipo mtu hafikirii dunia inaendaje na inataka nini, kichekesho kinaweza kuwa hata kumtungia kiongozi wa nchi (Rais) ,mazingira au hata vivutio mbalimbali kwa njia ya kichekesho na ukapata pesa.kitale (1)

Mifano mizuri ipo Kitale ni mmoja wa watu wanaoweza kukidhi kiwango cha soko la kisasa haswa kwa ubunifu na uvaaji wake miongoni mwa wachekeshaji wote waangalie mfano mzuri wa Kitale pia wangalie Joti na Mpoki walifanya hatua zote za uchekeshaji walivaa nguo mbaya na sasa wana vaa nguo nzuri kwa lengo la kuendana na soko.IDRISS SULTAN66

3.Kujitangaza (Promotion) Hakuna anae weza kujitangaza dhidi ya hao wenyewe vipi wanajitangaza kuanzia uvaaji, utunzi na heshima ya kazi yao hii inaweza kukupa dili makampuni mbali mbali na ukapiga pesa zika kunufaisha, wapo wanao fanya sanaa ya uchekeshaji kama kazi, lakini wapo ambao sanaa hiyo hawajapata manufaa nayo kwakuwa hawajawa Brand (alama ya biashara) maana wakishajiweka kibiashara mtonyo utakuja wenyewe .

NINI WAFANYE WARUDI KATIKA SOKO?

kila siku tuna hubiri umoja, upendo na ushirikiano pia wasiwe wabishi kuwafuata ambao wamefanikiwa mfano Kitale, jopo zima la Orijino komedi, Idriss Sultan na wengine walio acha kufanya kama zamani na kufanya kimataifa zaidi.ORIJINO COMEDY


Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment