Tuesday, March 29, 2016

MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA KUWAIT MHANDISI YOUSEF AL FOZAN AWASILI NCHINI KUSAINI MAKUBALIANO YA USAFIRI WA ANGA NA TCAA.



A5Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan , maoja na msafara wake wakiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo.
A4Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, (wapili kushoto)  akiwa na maofisa wa Ubalozi wa Kuwait hapa nchini kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam  wakimsubiria Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan aliyewasili nchini kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
A1Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari (Kushoto)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait  ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam leo,Kwa ajili ya kusaini  makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
A3Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, (wapili kushoto)  akiwa kwenye gari pamoja na wageni wake kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan na Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Kuwait Nchini, Mohamed Rashid Alamiri, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
indexMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari,  (wapili kushoto)  akiwa na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan, wakati alipowasili kwenye  uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
A2Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,(Kulia) akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, kuhusiana na usafiri wa Anga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
 Picha na mpiga picha wetu.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment