Monday, March 28, 2016
RAY : TANZANIA TUACHE UBABAISHAJI KWENYE TUZO
Nguli wa wa Filamu hapa nchini Vincent Kigosi maarufu kama Ray amefunguka kuhusu suala la Tanzania kutokuwa na tuzo kubwa kama ilivyo katika nchi nyingine huku akizitaka mamlaka husika kuacha ubabaishaji na kuchukua hatua mara moja ili kuongeza ushindani katika tasnia ya filamu nchini.
Ray amefunguka hayo kufuatia mualiko alioupata kwenda nchini Rwanda kuhudhuria tuzo za Rwanda (Rwanda Movie Awards) na kukabidhi tuzo ya Rwanda Best Movie, huku akieleza kuwa Tanzania imeizidi Rwanda kwenye masuala ya filamu hivyo anashangaa kuona wanaweza kuandaa tuzo kubwa haliyakuwa Tanzania inawezekana kufanya hivyo na haifanyiki.
Unknown
Web Developer
Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment