Wednesday, May 11, 2016

VIDEO: Kazi inaendelea na matunda yanakuja, Harmonize kazawadiwa gari na WCB


Baada ya show zake ambazo hazifiki hata 15 toka ametusua kupitia single yake yaAiyolamkali huyu kutoka WCB ameonyesha bidii ikiwekwa popote kuna matunda.
Ni gari aina ya Mark X ambapo Mmiliki wa label ya WCB, Diamond Platnumz alimpongeza na kuandika…’Kama nikusiivyo siku zote ni juhudi na Nidhamu yako ndio itayokufanya upate matunda ya kazi yako….. Usiache unyenyekevu, kuheshimu mkubwa na Mdogo, Kumuomba na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila hatua ndogo Uipigayo…. Congrats kwa your New Ride’ – Diamond
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment