Kurasa iliyothibitisha na Instagram ya kituo cha MTV Base Afrika imethibitisha kuwa msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz anafanya collabo na Chris Brown.
Diamond ni miongoni mwa wasanii wakubwa Afrika aliyewahi kushinda tuzo za#MTVMAMA2015 #BESTLIVEACT #AFRIMMA2015 #AfricanArtistOfTheYear #AFRIMA2015 #AfricanArtistOfTheYear #MTVEMA2015 #BestAfricanAct na#BestWorldWideAct, Pia tuzo kama #MTVEMA.
Ukiacha Chris Brown, Diamond Platnumz ameshafanya collabo na Msanii kutoka Marekani Neyo.
Pata Stori Kirahisi Zaidi,FahamuTv.Com Ipo Ins
No comments:
Post a Comment