Monday, May 23, 2016

PICHA 18: Unaikumbuka Titanic? huu ndio muonekano wa ndani wa meli mpya kubwa duniani


Mapema wiki hii meli ambayo ina uwezo wa kuchukua abiria 6,780 iling’oa nanga Southampton kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya uzinduzi rasmi, Watu 3000 wamepata bahati kupanda  meli hii kubwa duniani. Meli hiyo inayojulikana kwa jina la Harmony of the sea ilitoka Southampton siku ya jumapili katika safari yake ya kwanza ya kibiashara kabla haijarudi tena Uingereza.
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha muonekano wa Meli hiyo
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
KKKKKKK
.
.
.
.
male
.
.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment