Monday, May 23, 2016

Baada ya Ali Kiba kusaini mkataba na Sony,Basata wampongeza kwa haya mambo manne.




BASATA wamedai kuwa siku zote ukifanya sanaa ambayo ina staha inalipa zaidi na kudai kuwa nidhamu na maadili pia yanachangia katika mafanikio
“Tunampongeza Msanii Ali Kiba kwa kusaini mkataba na Kampuni ya Kimataifa ya Sony Music. Nidhamu, maadili & Sanaa ya staha hulipa” waliandika BASATA
basata 3 basata 4
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment