Kwa mujibu wa tovuti ya udaku ya TMZ, Tyga na Kylie wameachana siku chache baada ya kwenda pamoja kwenye usiku wa Met Gala,
Inasemekana wameachana vibaya huku Kylie akisema Tyga alialikwa kwenye Met Gala sababu anatoka na yeye ila sio staa wa kualikwa kwenye shughuli kubwa kama hio.

No comments:
Post a Comment