Dominic Toretto na timu yake wanarudi kwa nguvu kwneye filamu ya Fast 8 mwaka 2017 na haya mambo mapya ya kufahamu kuhusu filamu hii.
-Fast & Furious 8 Inatoka April 14, 2017.
-Fast & Furious 8 imeanza kufanyika Cuba na Cleveland,na itamaliziwa mjini New York City.
-Wanaorudi kwenye filamu hii ya Fast & Furious 8 ni Vin Diesel, Dwayne “The Rock” Johnson, Chris “Ludacris” Bridges, Kurt Russell, Michelle Rodriguez, Tyrese Gibson, Nathalie Emmanuel na Elsa Pataky
-Director wa Straight outta compton Gary Gray ataongoza filamu hii.
No comments:
Post a Comment