Friday, May 13, 2016

Audio,Jibu la Diamond Platnumz Kuhusu tetesi ya kuchepuka na video queen wa Kwetu ya Rayvanny.


Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wanaopambana na skendo kila kikucha na hivi karibuni alizushiwa kuwa na mahusiano na video queen wa wimbo wa ‘Kwetu’ wa msanii wa WCB Rayvanny. Video Queen huyu anafahamika kama Irene.
Irene
Skendo hii ilisamba zaidi kwenye mitandao kama Instagram na Snapchat Tanzania, Diamond Platnumz amejibu kwa kuongelea sehemu yake kwenye WCB ndio imechangia skendo hii, msikilize hapa.


Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment