Kama makazi yako ni Dar es salaam inawezekana umeshakutana nae askari huyu wa usalama barabarani, jina lake ni Ashraf Abas Shaban na maeneo yake ya kazi ni Bagamoyo Road, Sayansi na kama umegundua akiwa kazini foleni haigandi, ameipa heshima AyoTV na kuongea kidogo kuhusu yeye na kazi yake.
Anasema >>> ‘Ninavyoongoza magari kuna baadhi ya watu hawaendi na kasi yangu napenda watu waende na ile kasi yangu, Madereva wengine ni wazembe wanachat kwenye simu’
Bonyeza play kwenye hii video hapa chini kukutana nae
No comments:
Post a Comment