Friday, May 27, 2016

AUDIO: Meneja wa Alikiba aelezea kwa undani faida za Alikiba kwenye mkataba na Sony



Mwimbaji wa bongofleva Tanzania Alikiba alijaa kwenye headlines baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni kubwa ya muziki ya Sony Johannesburg South Africa May 19 2016, Meneja wake aitwae Seven amekaa kwenye Exclusive na Millard Ayo na kuelezea kwa undani vitu atavyopata Alikiba kwenye huo mkataba, bonyeza play hapa chini
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment