Thursday, May 12, 2016

Sikiliza na download hapa wimbo mpya wa Ali Kiba Ft M.I ‘Aje’, M.I Kaimba Kiswahili Pia.


Hii kazi mpya ya Alikiba kafanya na rapa MI kutoka Nigeria, Wimbo huu umepewa jina Aje. Kwenye wimbo huu katajwa Wema Sepetu na Lulu Micheals.
Mnigeria M.I kaongea Kiswahili kwenye wimbo Huu. Ali Kiba yuko chini ya lebel ya Rockstar pamoja na Jide,

Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment