Rapa Ja Rule amempiga kofi shabiki aliyerusha kopo la bia na kumgonga kichwani wakati akifanya show. Tukio hilo lilivyotokea Ja Rule alisimamisha show na kutoa dola 1000 kwa mtu ambaye angemuonyesha mtu aliyerusha kopo hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment