Wednesday, May 11, 2016

Kimbunga asema hajawahi kumuomba Collabo Nay Wa Mitego.


Rapa Kimbunga Mchawi ameweka wazi kuwa hajamuomba Nay wa Mitego collabo ila Nay ndio alimcheki yeye na kwamba Nay wa Mitego hajui muziki na wala hajui nguzo za hip hop kupitia Exclusive interview aliyofanya na #Sammisago.
Kimbunga anasema “Msanii Nay wa Mitego sio msanii mkali, hajui nguzo za hip hop, hajui muziki hata aimbe wimbo gani hawezi, na siwezi kumshirikisha na sijawahi kushirikiana naye, yeye ndo aliwahi kunishirikisha kwenye nyimbo zake, na kwasababu kulikuwa na wasanii wengine kama kina Baghdad, nikaona kazi nzuri nami nikakubali tu”.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment