Baada ya mwigizaji mkali Daniel Craig kukata kuigiza tena kama James Bond kwenye filam zingine mpya, staa mwingine amepewa shavu hilo. Daniel amekata kitita cha pound milioni 68 ambazo ni kama dola milioni 100 za kimarekani.
Mpaka sasa anayetajwa kuchukua nafasi yake ni mwigizaji Tom Hiddleston uliyemuona kwenye filamu kama The Avengers na Midnight in Paris.
Kuigiza kama James Bond ni heshima kubwa sana Uingereza.
No comments:
Post a Comment