Image caption
Louis Van Gaal
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van
Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku
aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala
pake.Raia huyo wa Uholanzi anaondoka baada ya kukamilisha miaka miwili
ya kandarasi yake kati ya mitatu.Kitengo cha habari za michezo cha BBC
Sport kiliripoti siku ya Jumamosi kwamba ushindi wa United wa kombe la
FA dhidi ya Crystal palace utakuwa mechi yake ya mwisho akiwa
mkufunzi.Uteuzi wa Mourinho unatarajiwa kuthibitishwa baada ya raia huyo
wa Ureno mwenye umri wa miaka 53 kukutana na maafisa wakuu wa United
siku ya Jumanne.
Share Post
UnknownWeb Developer
Follow me on:
Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.
No comments:
Post a Comment