Kwenye mahojiano na The New York Times,
DJ Khaled amefunguka kuhusu hali yake pala anapokuwa karibu na rnb staa
Beyoncé na kusema huwa anapiga kimya tu “I’m very quiet, kili nikimuona
anakuwa na Jay Z, huwa nasalimia tu na kukaa kimya au kuondoka.”
Khaled kwa sasa yupo kwenye ziara na Beyoncé ya Formation World Tour,sababu muziki wa Dj Khaled unasimamiwa na Jay Z.
No comments:
Post a Comment