Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva.
Mei 11, 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Harmonize kukana kucopy sauti na stlye za Diamond Platnumz ambaye tangu kwenye Aiyola na Bado wadau wanasema kama anamcopy Diamond.
Itazame hii video hapa kuna stori zingine ametusogezea ikiwemo ya FID Q na Mike Tee
No comments:
Post a Comment