Thursday, May 12, 2016

Snoop Dogg kairudisha lebel yake ya DoggStyle.



Baada ya miaka ishirini ya Ukimya sasa lebel ya Snoop Dogg ‘DoggyStyle Records’ imerudi kwenye rapa Game. Snoop Dogg ametangaza msanii wa kwanza kwenye lebel hio kuwa ni rapa kutoka Atlanta Clay James.
Snoop Dogg aka Doggfather alianzisha DoggyStyle Records mwaka 1995 baada ya mafanikio ya album yake ya mwaka 1993 ikiwa na jina hilo la DoggyStyle na alitoa album za Welcome To Tha Church miaka ya 2000.
Wimbo wa kwanza kutoka lebel ya DoggyStyle ni “Souther Playa Shit”.
snoop msani
Pata Stori Kirahisi Zaidi,FahamuTv.Com Ipo Instagram>INSTAGR
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment