Kuanzia kesho watakuwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga kutoa tiba bure kwa watoto kuanzia saa tatu asubuhi na kuendelea, kama una ndugu yako au yeyote mwenye Watoto wa aina hii inabidi waletwe kupata hii tiba bure ambayo imegharimiwa kwa asilimia 100% na GSM Foundation.

Monday, May 2, 2016
GSM Foundation wamegharamia kila kitu na kuzungusha madaktari bingwa Tanzania kutoa tiba hii bure
Unknown
Web Developer
Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment