Washindi na waliochukua nafasi ya pili katika tuzo za wapiga picha za Sony wametangazwa.
Stefan Thaler,mshindi wa tuzo za kitaifa za Sony 2016
Mohammed Ponir Hossain,alichukua nafasi ya pili kutoka Bangladesh
Luis Portelles wa Canada alishinda nafasi ya tatu katika tuzo hizo
Miguel Angel Merino,ambaye aliibuka wa pili kutoka Chile
wang LiJun alichukua nafasi ya 3 katika tuzo hizo za Sony za mwaka 2016
Petar Sabol mshindi wa Croatia tuzo za Sony 2016
Victor Vargas,ndio mshindi wa Ecuador,wa tuzo za 2016
Nader Saadallah kutoka Misri alikuwa wa pili katika tuzo hizo
Abhuit Banerjee,Mshindi wa tuzo ya Sony 2016 kutoka India
Hendra Permana alichukua nafasi ya 2 katika tuzo hizo
Khairel Anuar Che Ani ambaye ni mshindi wa tuzo hizo kutoka Malaysia
Silvia Andrade,ndio mshindi kutoka Mexico
Pedro Diaz Molins,mshindi kutoka Uhispania
Mike O'Dwyer alichkua nafasi ya pili katika tuzo hizo
MINH THANH NGO kutoka Vietnam ndio mshindi wa tuzo hizo za Sony 2016