Sunday, March 27, 2016

PICHA 23: Izzo B na Stamina walivyowarusha watu wao wa Mbeya kwenye usiku wa Pasaka



Usiku wa March 27 Mastaa Izzo B na Stamina waliidondosha burudani kwa watu wao waMbeya  au Green City kwenye show iliyopewa jina la HOME SWEET HOME iliyofanyika katika ukumbi wa Viva night lounge, show ambayo hufanyika kila mwaka mkoani hapo.
Kama kawaida, kazi yangu ni kuhakikisha kuwa hupitwi na lolote linalonifikia na tayari nimekusogezea hizi picha picha 23 kutokea pande hizo.
IMG_0605
Warembo na pozi zao, huyu jamaa sasa pembeni…
IMG_0604
Hapa ni kabla ya show, jamaa anapata kinywaji kwanza
IMG_0637
kutokea kushoto Mrembo Ashley, Producer Dupy wa uprise music na mrembo Amina
IMG_0628
Kutokea kushoto Stamina na Izzo B
IMG_0641
Stamina akiwaamsha watu wake wa Mbeya
IMG_0639
Mc wa show hiyo Adam Solinza
IMG_0644
Stamina kwenye hisia za burudani na watu wake
IMG_0656
IMG_0684
Wengine hawakutaka kupitwa na kumbukumbu yani
IMG_0690
IMG_0694
IMG_0707
Izzo B akiitoa burudani kwa watu wake

IMG_0709
IMG_0719
IMG_0745
IMG_0749
Producer Dupy na Izzo B wakisalimia mashabiki
IMG_0753
Izzo B On stage
IMG_0769
IMG_0777
Kubambia pia hakukuwa mbali na mashabiki yani
IMG_0778
Burudani ikikolea ruksa kujiachia
IMG_0786
IMG_0789
Full shangwe kwa mashabiki
IMG_0806
Mc wa show Ashley On stage

Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment