Tuesday, March 15, 2016

Mhadhiri aliyeigiza filamu chafu Uingereza ajiuzulu



Goddard
Image captionGoddard aliigiza filamu hizo kwa miaka kumi
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
Amekuwa akifunza kama Profesa na vilevile kuigiza kisiri katika filamu za ngono.
Profesa Nicholas Goddard, ambaye ana umri wa miaka 61, amekuwa akifunza katika Chuo Kikuu cha Manchester kwa miaka 25 na amechapisha vitabu na majarida kadhaa ya kimasomo.
Aligunduliwa na mmoja wa wanafunzi wake baada ya kumtambua katika filamu moja ya uigizaji wa ngono.
Nicholas Goddard, anasemekana kuwa alikuwa akiigiza kwa kutumia jina la utani "Old Nick" kwa zaidi ya miaka kumi.
Aliachana na uigizaji huo mwaka jana wa 2015.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment