Tuesday, March 15, 2016

MAJLIWA AMPA POLE PROFESA TIBAIJUKA-AWASILI NGARA



89Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiwasalimia wnanchi wa eneo la Benaco wilayani Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi, 2016.
10Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa kahawa iliyoyokaangwa  maarufukwa jina la akamwani ikiwa ni mapokezi ya kimila ya Wahaya wakati alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Tibaijuka  mjini Muleba kutoa pole kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo Machi 15, 2016.
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment