Friday, March 11, 2016

DRC yasitisha utekelezaji wa mabadiliko ya sheria ya madini

Kushuka kwa bei ya madini kwenye masoko ya kimataifa kumesababisha serikali ya Kongo kusitisha kwa muda utekelezaji wa mabadiliko ya sheria yake ya madini.
Rais Joseph Kabila wa DRC
Rais Joseph Kabila wa DRC
Na Swaleh Mwanamilongo
Kinshasa, DRC
Kushuka kwa bei ya madini kwenye masoko ya kimataifa kumesababisha serikali ya Kongo kusitisha kwa muda utekelezaji wa mabadiliko ya sheria yake ya madini.
Tangazo hilo lililotolewa na waziri wa Kongo wa madini limepingwa vikali na mashirika 42 ya kiraia ambayo yamesema kutobuniwa kwa sheria hiyo mpya ni sawa na kuyapa nafasi makampuni ya madini kuendelea kupora rasilimali za kitaifa,  huku wananchi  wakisalia masikini. Sikiliza taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment