Saturday, March 12, 2016

Bulaya akamatwa na polisi jijini Mwanza Bulaya akamatwa na polisi jijini Mwanza


Mbunge wa Jimbo la Bunda Chadema, Esther.

Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene leo amesema mbunge wa Jimbo la Bunda Chadema, Esther Bulaya, amekamatwa na polisi Mwanza, leo usiku hotelini, sababu za kukamatwa hazijulikani.

Hadi sasa anashikiliwa na polisi. Viongozi wa Chadema wanaelekea kituo cha polisi muda huu kujua hatma yake.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment