Monday, March 28, 2016

Waandamanaji wa mrengo wa kulia washambulia waombolezi Brussels




Polisi wa kupambana na ghasia huko Ubelgiji wametumia mabomba ya maji kuwatawanya wanaharakari wa itikadi kali za mrengo wa kulia wanaopinga wahamiaji walopambana na waombolezi.:
1
Jumapili ya Pasaka ilianza kwa amani pale mamia ya watu walipojitokeza na kutoa heshima zao kwa waathiriwa wa mabomu ya kigaidi ya Brussels, Ubelgiji, 
2
Mnamo wiki nzima uwanja mbele ya jengo la soko la hisa la Ubelgiji umegeuka kua eneo la makumbusho ya waathiriwa wa mabomu ya Brussels na kutolewa ujumbe wa umoja. Na bango linalosema sio kwa jina la Uislamu. 
3
Wanaharakati wa mrengo wa kulia walipojitokeza waombolezi wakawazomea na kuwaeleza kua ni mafashisti. 
4
Polisi wa usalama waliongezwa mara moja katika eneo la makumbusho ambalo tayari lilikua linalindwa vikali siku ya Pasaka wakati wanaharakati wa mrengo mkali wa kulia kujitokeza na kupiga makelele wakitumia makauli kulaani uislamu mjini Brussels. 
5
Polisi wa kupambana na ghasia wajitayarisha kumaliza malalamiko ya wanaharakati wa mrengo wa kulia wenye itikadi kali.
6
Wanaharakati wa itidaki kadi za mrengo wa kulia wamechafua barabara wakati polisi wakiwafukuza kutoka kati kati ya Brussels. 
7
Calling themselves ‘Casuals Against Terrorism’ the group set off flares and was eventually repelled with water cannons. 
8
Polisi wa kupambana na ghasia wakijipanga na kusomngea mbele. huko Brussels. 
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment