Wednesday, June 8, 2016

Picha, Diamond Platnumz anaibadilisha tena studio ya Wasafi Records.


Mmiliki wa WCB Records [Wasafi Records] Diamond Platnumz amethibitisha ujio mpya wa studio yao ya WCB Nakusema kwa sasa wapo kwenye matengeneza ya kuboresha studio hii.
I can’t wait to present to you our @WasafiRecords New Look!…. Still on the Making though😋
(Tumesimamisha huduma za Studio kidogo kwa sasa tunafanya marekebisho ili tuzidi kuwapatia kazi bora na hata muonekano mzuri wa selfie tukiwa kibaruani…. inshaallah siku si nyingi tutakuwa tumemaliza….@WasafiRecords House Of Hits!) @red_interiors
wasafii 1 wasafii 2

Pata Stori Kirahisi Zaidi,Sammisago.Com Ipo

Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment