Friday, June 3, 2016

African top 10 ya Trace tv ina ngoma kali 2 kutoka Tanzania, June 2 2016.


Trace Urban imeendelea kuwa kituo kikubwa cha burudani ambayo imesambaa kwenye huduma ya kulipia iliopo ndani ya mataifa mengi barani Afrika ikiwa na watazamaji wengi kutokana na kupiga ngoma kali kutoka duniani kote, ndani ya African Top 10 ya Trace Urban Alhamisi June 2 2016 watanzania wawili wakiwemo ambao ni Nedy Music ft Ommy Dimpoz na kibao chake usiende mbali sambamba na Vanessa Mdee na ngoma yake ya Niroge imeshika nafasi za juu.
10.Nedy Music ft Ommy Dimpoz – usiende mbali, Miongoni mwa watanzania walioingia katika list hii ya ngoma kali za kiafrika na hii ni single yake ya kwanza kabisa akiwa chini ya Ommy Dimpoz na ikiwa inafanya vizuri.
n10
9.Eugy ft Mr Eazi – Dance for me,  Msanii kutoka Nigeria kashika nafasi hii.
n9
8.Olamide – Abule sowo,  Msanii huyu pia ni kutoka Nigeria katika nafasi hii.
n8
7. Skuki, Lil kesh – Lori standing, Msanii mwingine kutoka nchini Nigeria katika list hii.
n7
6.Falz ft Simi – Soldier, wasanii hawa pia ni kutoka nchini Nigeria.
n6
5.Sauti Sol ft Ali Kiba – Unconditionally Bae, nafasi hii kushikwa na kundi hili kutoka Kenya walio mshirikisha Staa wa Tanzania Ali Kiba inafanya vizuri pia katika countdown hii.
n5
4.Kiss Daniel- Mama, Msanii mwingine tena kutoka nchini Nigeria kushika nafasi hii.
n4
3.Mayorkun- Eleko, Msanii huyu ni kutoka nchini Nigeria.
n3
2.Vanessa Mdee – Niroge, Staa wa BongoFleva ameshika nafasi hii ya juu kabisa.
n2
1.Patoranking – Another Level, Msanii huyu kutoka Nigeria pia kushika nafasi hii ya juu kabisa katika countdown hii ya Trace Urban.
n1
ULIK
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment