Imethibitishwa kuwa The Rock anarudi kwenye filamu ya ‘FAST & FURIOUS 8’ na kuendelea na husika yake kama Hobbs ila mpaka sasa haijafahamika atafanya kitu gani kwenye filamu hii mpya.
Akihojiwa hivi karibuni The Rock amesema “Nitashangaza sana watu nitakaporudi kwenye filamu hii,huwezi jua nitaonekana kidogo na kupotea kabisa au nitabadilika na kuwa mtu mwingine kwenye hio filamu, “.
Johnson aka The Rock , 44, alionekana mara ya kwanza kwenye “The Fast and the Furious” mwaka 2011 kwenye “Fast Five” na “Fast & Furious 6″na tena “Furious 7.”
No comments:
Post a Comment