Friday, June 17, 2016

Kutoka TCRA wametoa ufanunuzi wa kufungiwakwa simu feki




Ni June 16, 2016 ambapo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  yenye dhamana ya kusimamia shughuli za Mawasiliano ya Kielektroniki walizifungia simu feki zenye IMEI bandi.
Sasa millardayo.com imepata meneja wa Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mugy na kueleza idadi ya IMEI zilizokamata na mtambo wao ambao umehusika kuzifungia simu feki.
‘Tukizungumza ambavyo vimezimwa kinachofanyika kuzifunga zile IMEI bandi ambazo kwa jana tumefanikiwa kuzifunga simu zenye IMEI zipatazo laki sita na elfu 3 kwa maana ya kwamba unakuta simu moja ina IMEI mbili kwasababu simu yenye laini mbili ina IMEI mbili sasa ziko simu zenye IMEI hadi nne‘- Innocent Mugy
Kwahiyo ambacho tumeblock jana usiku ni IMEI laki sita ikiwa ina maana hizi ni ambazo zinatumika kwenye simu feki, modern ya internet na IPAD, sasa sisi hatuwezi kutaja idadi ya simu ngapi tumezifungia ila tunachokijua ni kwamba IMEI laki sita ndio zimefungiwa zilizopo kwenye simu– Innocent Mugy
Zoezi hili bado linaendelea ambapo sasa hivi mtambo utakuwa unahakikisha simu zinazoingia bandi zitakuwa zinafungiwa, IMEI ni namba tambulishi  kama unakumbuka tulisema kwamba kila simu inayotengezwa inapewa namba tambulishi, sasa simu ili itengenezwe lazima ipite kwenye mchakato kuhakikisha kuna vitu ambavyo havitakiwi viwepo kwenye simu- Innocent Mugy
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment