Pop staa Justin Bieber amemtatharisha Ex wake mwanamitindo Hailey Baldwin kuwa akae mbali na Drake baada ya wawili hawa kuonekana pamoja hivi karibuni.
Inasemekana Justin anamwambia Hailey kuwa Drake ni player tu na kwamba sio mtu mzuri kutoka naye.
Je Justin anamuoneka wivu Drake sababu ameng’oa Ex wake ?
No comments:
Post a Comment