Chris Ubosi na kampuni yake ya Megalectrics wamefungua kesi dhidi ya RiRi kwa kushindwa kuja kufanya show mwaka 2013. Ubosi anasema aliongea na wawakilishi wawili wa Rihanna,na lebel yake ya Roc Nation na Jay Z. Rihanna alipewa dola $425,000 kufanya show ya dakika 65.
Show ilitakiwa kufanyika May na Ubosi anasema alitoa malipo mara tatu ikawa ni dola ila watu wa Rihanna walibadilisha siku ya show.
Watu wa Rihanna wanasema hajawahi kupangwa kufanya show Nigeria na kwamba hajawahi kupokea pesa hizo.
No comments:
Post a Comment