Baada ya Vanessa Mdee kusema taarifa za beef na Shilole si kweli na hawakuwa na beef bali ulikuwa ni utani tu, kwenye OnAIRwithMillardAyo Vanessa Mdee amewataja wasanii walioamini kuwa wanabeef na Shilole na walimpigia simu walikuwa hawataki ugomvi wake na shilole……..
>>>’walikuwa wanataka kuthibitisha, walinipigia hapohapo wengine nilikuwa sitaki kupokea hata simu zao kwa sababu nilikuwa sijui nitasemaje, lakini watu wangu wa karibu walifahamu toka mwanzo, ni wengi sana walinicheck, wote walikuwa wanauliza nini kimetokea’.
No comments:
Post a Comment