Tyga hana tatizo tena na , Blac Chyna, amedai amefurahi kusikia mama wa mtoto wake amechumbiwa na shemeji yake Rob Kardashian.
“It makes me happy to see the mother of my son happy,” Tyga alitweet “My only concern in this situation is my son. I want him in happy environments.”
Tyga na Blac Chyna waliachana wakiwa tayari wamepata mtoto mmoja, King Cairo baada ya Tyga kuanza uhusiano na Kylie jenner, cha kushangaza zaidi Blac Chyna baada ya muda alianza uhusiano na kaka wa Kylie Jenner, Rob Kardashian ambaye amemchumbia.
No comments:
Post a Comment