Friday, April 29, 2016

MAMA RONALDO AKATANGEBE ZA MASHABIKI WA MAN U


Mama yake na Cristiano Ronaldo amemaliza ubishi unaoendelea kwa mashabiki wa soka kuhusiana na mwanae kuwa anaweza kuihama klabu yake ya sasa Real Madrid.

Hii ni kama anawakatisha tamaa waliokuwa wanafikiria kuwa mchezaji huyo angerudi Old Trafford kuwa anafurahi mwanae kucheza Hispania na hafikirii kama atarudi United.

“Ronaldo yuko na furaha hapa na nafikiria atamaliza kazi akiwa hapa”amesema mama yake Ronaldo kupitia gazeti la AP

Kuna habari kuwa Cristiano Ronaldo CR7 anatarajia kujiunga na PSG wengine wakisema atarudi England lakini kwa mjibu wa maelezo ya mama yake inaonesha mchezaji huyo atabaki Madrid kwa namna nyingine Madrid nao wapo kama Arsenal mchezaji akifika umri wa miaka 30+ anapewa mwaka 1 wa mkataba.

Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment