Friday, April 29, 2016

Top 10 ya video kali za Afrika wiki hii TRACE TV… Watanzania ni wawili tu


Kila wiki nitakua nakuunganisha na TRACE URBAN ambayo imesambaa kwenye huduma ya kulipia kwenye mataifa mengi Afrika ikiwa ni TV ya burudani yenye mashabiki na inayoaminika kwa kupiga video na nyimbo zenye ubora, Top10 ya ngoma kali Afrika Alhamisi April 28 2016 inae Mtanzania Vanessa Mdee na single ya ‘Niroge‘ ambayo imezidi kusogea nafasi za juu.
10.Phyno –Ezege imewekwa kwenye mtandao wa Youtube March 11, 2016 na kutazamwa mara 149, 913


9.Vector – EMI  imewekwa kwenye mtandao wa Youtube March 15, 2016 na kutazamwa mara 47,279

8.Runtown ft Wizkid  Lagos to Kampala imewekwa kwenye mtandao wa YoutubeMarch 29, 2016 na kutazamwa mara 753,395
7.Eddy Kenzo ft Patoranking – Royal imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 14, 2016 na kutazamwa mara 179,562


6.D Banj – Emergency – imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 16, 2016 na kutazamwa mara 609,128



5. Mtanzania Vanessa Mdee – Niroge imewekwa kwenye mtandao wa Youtube March 24, 2016 na kutazamwa  mara 538,240
4.Sauti Sol wa Kenya na Mtanzania Alikiba Unconditionally Bae imewekwa Youtube March 10, 2016 na kutazamwa mar1,543,556


3.Patoranking – Another Level imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 6 2016 (siku 63 mpaka sasa) na kutazamwa mara 801,919


2.Humblesmith ft Davido – OSINACHI (Remix) imewekwa kwenye mtandao wa Youtube January 31, 2016  na kutazamwa mara 1,477,158
1.YCEE – OMO ALHAJI imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 9 2016 na kutazamwa kwa zaidi ya views 527,315





KAMA ULIMISS YA KALAPINA KUHUSU KUFAHAMU MATIBABU YA CHID BENZ ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment