Friday, April 29, 2016

VIDEO: Rammy na furaha ya dili 3 Nigeria.. Mapenzi motomoto kwa Masogange


Staa kutoka Bongo Movie Rammy Galis alfajiri ya April 27 2016 alirudi Dar es Salaamakitokea Nigeria alipokwenda kufanya filamu aliyoshirikishwa na director wa Nigeria ambapo baada ya kurudi akiwa Airport Dar es salaam alithibitisha kupata dili nyingine mbili za kufanya movie Nigeria hivyo jumla ni tatu.
Nimerudi na zawadi kubwa sana kwa watanzania kwa maana Nollywood imenipokea vizuri, nilienda kwa ajili ya filamu moja lakini nimefanikiwa kufanya nyingine mbili, kutambulishwa huko ni kitu kikubwa nafikiri hata baada ya marehemu Kanumba kufariki hakukuwa na msanii zaidi yake aliyefanikiwa kwenda huko lakini nimepata bahati” >>> Rammy Galis
Pamoja na hayo ya Nigeria, Rammy Galis na Masogange sasa hivi sio siri tena baada ya kuonekana kwenye mapozi ambayo tukijumlisha na ile Interview iliyopita AyoTV ni wazi kwamba wawili hawa wako kwenye uhusiano wa kimapenzi, tazama hii video hapa chini.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment