Ulimiss kazi za Director Nisher? kama jibu ni Yes basi inabidi ujue ameweka mikono yake kwenye hii video mpya ya mwimbaji Emmanuel Austin ambayo kamshirikisha Ben Polinaitwa ‘boge‘ ukishaitazama usiache kutoa comment yako mtu wa nguvu ili wenyewe wakipita wajue watu wao wanasemaje.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment