Thursday, April 21, 2016

Kenya yailaumu Tanzania kuhusu raia wa Ethiopia


Image captionRamani ya mpaka wa Kenya na Tanzania
Kenya imeilaumu Tanzania kwa kuwaweka raia wa Ethiopia katika eneo lake la mpaka siku ya Jumanne badala ya kuwarudisha makwao kulingana na ripoti ya gazeti la The standard nchini Kenya.
Raia hao wa Ethiopia walikuwa wamewachiliwa huru baada ya kuhudumia vifungo vya mashtaka tofauti ya uhalifu nchini Tanzania.
Maafisa wa polisi wameagizwa kutowaruhusu wageni hao kuingia nchini Kenya.
''Watarudishwa nchini Tanzania walikotoka.Kisa hicho hakikubaliki na hakiruhusiwi na sheria'',Afisa wa Kenya Henry Wafula alinukuliwa akisema.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment