Friday, April 29, 2016

Kongamano la vijana wa Afrika kuhusu urithi wa dunia laendelea Afrika Kusini



Mji wa Mombasa pwani ya Kenya ambako kuna maeneo ya urithi.(Picha:UM/Milton Grant)


Nchini Afrika Kusini, mkutano ulioandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO unaendelea ambapo vijana wamezungumzia kila ambacho wanajifunza kutokana na kongamano hilo.
Lengo ni kushirikisha vijana katika kulinda maeneo ya urithi wa dunia barani Afrika ambapo Njeri Mbure kutoka Kenya amezungumza na idhaa hii na kuelezea kile ambacho wanajifunza…

Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment