Kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono zinazowakabili askari wa kulinda amani wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini New York Balozi Tuvako Manongi amesema nchi hiyo imechukua hatua dhidi ya askari hao ikiwamo uundwaji wa bodi ya uchunguzi.
Katika mahojiano maalum na idhaa hii, balozi Manongi amesema suala hilo limemsikitisha Rais na Mkuu wa majeshi na kwamba .
( SAUTI MANONGI)
Kuhusu kikosi kizima kurejeshwa nyumbani kufuatia tuhuma hizo balozi Manongi amefafanua.
( SAUTI MAONONGI)
Tuhuma hizo zinawakabili askari 11 wa Tanzania wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokarsia ya Congo DRC.
No comments:
Post a Comment