Saturday, April 2, 2016

Baada ya kufanikiwa kuacha matumizi ya dawa za kulevya Keko atangaza rasmi kuacha muziki.


 keko1
Rapa Jocelyne Tracey aka Keko kutoka Uganda ametangaza rasmi kuacha muziki baada ya kufanikiwa kuacha matumizi ya dawa za kulevya.
Mwaka jana Keko alitimuliwa Coke Studio kutokana na tabia yake ya matumizi ya dawa za kulevya na sasa baada ya kushinda vita hivyo ameamua kuacha muziki kabisa.
Keko aliandika twitter “Love from Venus itakuwa kazi yangu ya mwisho, samahani kama nimemuangusha mtu,naimani huu ni uwamuzi bora”
Keko pia ameanzisha kampeni ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya ya ‘Sober Up Soar High’ (SUSH) .
Tulianza kumfahamu Keko kupitia wibo wa Fallen Heroes mwaka 2011 Ft Don MC.
keko-town

Keko_ndani
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment