Tuesday, April 5, 2016

VIDEO: Wezi wa Laptop kwenye magari wanalostisha sana… tazama walichowafanyia kina Master J kwa Sugu



Imefikia hatua sasa inabidi tuwe makini zaidi na mali zetu, kilichompata producer mkongwe wa muziki wa bongofleva Tanzania, Master J na wenzake kisitutokee na sisi maana kuibiwa laptop na vitu vingine kwenye gari kumetokea sehemu ambayo hata hauitarajii, tulizoea kusikia wizi huu maeneo kama Mlimani City na Town Dar es salaam ila sio Ununio kwakweli.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment