Urusi imeamua kuzuia kuwekwa wazi kwa ripoti hiyo kwa umma kutokana na uhusiano wa karibu na serikali ya rais Omar Al Bashir.
Moscow inasema imechukua hatua hiyo kwa sababu haiwaamini watalaam wa Umoja wa Mataifa waliotekeleza uchunguzi wao.
Serikali ya Khartoum imekuwa ikishtumiwa kuendelea kuwaunga mkono waasi wanaofanya shughuli zao katika migodi ya dhahabu katika jimbo hilo tata.

No comments:
Post a Comment