Thursday, April 7, 2016

ENTERTAINMENT Picha 25: Mbunge Mr II anatimiza ahadi ya kurudi bongoflevani, nimemkuta akitengeza hii video mpya


Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Mr. II, Sugu) ameingia studio MJ Records na kutimiza ahadi yake ya  kurudi kwenye game ya bongofleva ambapo alikaa kimya kutokana na kuchaguliwa tena kuwa Mbunge kwa awamu ya pili kuliongoza Jimbo la Mbeya Mjini.
Director wa hii video ya ‘Freedom’ ni Hanscana ambapo Mr II ameiambiamillardayo.com jinsi alivyokutana na Producer, DAxo Chali aliyetengeneza hiyo single  >>> Niliitwa nikaambiwa nikikaa kwenye ile beat itakuwa poa nikaona sasa hivi nimepata fursa baada ya kumaliza kampeni na kushinda kama Mbunge ambaye nimechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Mbunge yeyote ndio ikanibidi nijibu kiu ya mashabiki zangu
3X6A0683
Profesa Jay na Producer Master J ni miongoni mwa wataotokea kwenye hiyo video mpya ya Mr II
20160404_143843
20160404_144005
20160404_144230
Msanii wa hiphop Roma Mkatoliki naye yumo ndani
20160404_144239
20160404_144241
20160404_155714
20160404_155723
20160406_153518
Profesa Jay na Mr II
20160406_154357
Location ya video ni Dar es salaam

20160406_164534
Profesa Jay na Hartman Mbilinyi
20160406_164857
20160404_220711
AW1A0094
Roma Mkatoliki, Shaa na Master J
AW1A0150
Video bado inaendelea kutengenezwa
AW1A0152
AW1A0164
Hanscana ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Director wa video anaependwa Tanzania kwenye TUZO ZA WATU ndio anausimamia huu mzigo wa Mr. II
3X6A0348
Mr II

3X6A0360
3X6A0364
3X6A0368
3X6A0375
3X6A0393
20160404_151759
20160404_152348
20160406_115247
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya

Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment